Sunday, July 29, 2012

UNGA HUU WA "LISHE TOTO" NI UNGA WA UJI MZURI SANA KWA WATOTO CHINI YA UMRI WA MIAKA MINNE NA PIA HATA MTU MZIMA ANAWEZA KUUTUMIA KWA AJILI YA KUIMARISHA AFYA YAKE.



5 comments:

  1. unapatikana wapi na unatengenezwa kwa vitu gani(ingredients)

    ReplyDelete
  2. una mahindi yasiyokobolewa, ngano isoyo kobolewa, mtama mweupe, soya na korosho.
    korosho ina vitamin b2 kwa wingi inayosaidia ubongo kufanya kazi kwa ufanisi, soya ina protein inayosaidia ukuaji wa mtoto na calcium inayoimarisha mifupa na meno.
    mahindi, ngano na mtama ni nafaka tatu ambazo kila moja ina kirutubishi cha ziada kuliko nyenzie ndio maan tunaweka zote kwa uiano wa kitaalam.


    tunapatikana kwenye duka letu lililopo Sam Nujoma road njia panda ya chuo kikuu cha Dar es salaam karibu na nyumba za TANESCO. kwa mawasiliano zaidi piga namba 0713524298 au 0756830720

    ReplyDelete
  3. Mahitaji Unga huo npataje

    ReplyDelete